Sunday, June 29, 2014

Mario Alberto Kempes : Shujaa aliyeiletea heshima Argentina Kombe la Dunia Mwaka 1978

Mchezaji mwenye rekodi ya pekee : Hakuwahi  kupewa kadi ya aina yeyote katika maisha yake ya soka                                         ...

Friday, June 20, 2014

Hiki ndicho kikosi cha Stars kitakachokwenda Gaborone, Botswana

Wachezaji 26 wa Taifa Stars wanaingia kambini Jumatatu (Juni 23 mwaka huu) kwa ajili ya safari ya Gaborone, Botswana. Kwa mujibu wa Kocha Msaidizi wa timu hiyo Salum Mayanga, wachezaji hao wanatakiwa kuripoti katika hoteli ya Accomondia jijini Dar es Salaam kujiandaa kwa safari hiyo inayotarajiwa...

Rufani ya Wambura Yakwama TFF

Kamati ya Rufani ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeikataa rufani ya Michael Wambura kupinga kuenguliwa kugombea urais katika uchaguzi wa klabu ya Simba unaotarajiwa kufanyika baadaye mwezi huu. Wambura aliwasilisha rufani yake mbele ya Kamati hiyo iliyokutana leo (Juni...

Kwa wale Mashabiki wa Manchester United hii ndo ratiba ya ligi Msimu Ujao

Klabu ya Manchester United inatarajia kutupa karata yake ya kwanza katika ligi ya England msimu ujao dhidi ya Swansea City katika uwanja wa Old trafford huku wakitarajia kucheza jumla ya michezo tisa bila kukutana na klabu yeyote iliyo maliza ligi katika nafasi nne za juu.  Aidha, baada ya...

Sunday, June 8, 2014

Messi: Sasa ni muda wa kudhihirisha Ukweli

Getty0 Kiungo mshambuliaji na kamptaini wa timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi amesema kuwa kikosi chote kina shauku na michuano ya kombe la dunia baada ya kushinda mchezo wa mwisho wa maandalizi ya kombe hilo dhidi ya Slovenia jumamosi h...