
Bila
shaka kila aliekua anawafatilia au kusikia taarifa za hawa watoto
atakua na hamu ya kujua kimeendelea nini baada ya kupelekwa kutibiwa
nchini India ambapo mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete amethibitisha
kupitia ukurasa wake wa twitter kwa kuyaandika haya.
‘
Hospitali ya Apollo lndia imefanikiwa kuwatenganisha watoto mapacha toka Tanzania waliokuwa wameungana vifua‘
Source: Millard Ayo
0 comments:
Post a Comment