Sunday, April 26, 2015

De Gea kupewa ofa ya Paund 200,000 ili kubaki old trafford na kupewa Kipa anaelipwa fedha nyingi zaidi

David de gea amekua akihusiswa na kuhamia Real Madrid misimu huu utakavyokwisha. Manchester united wamempa ofa ya paundi 200,000 ili abaki Kama atasaini atakua golikipa anaelipwa zaidi duniani Louis van Gaal alikubali ijumaa hii kwamba klabu imempa mshahara mkubwa sana. Manchester...

TIGO WAMEINGIA KATIKA HEADLINES WAZINDUA INTANETI YA KASI ZAIDI 4G LTE

Muonekano katika duka la tigo mlimani city ambapo wateja walishuhudia jinsi gani mtandao huu wa kasi wa intaneti unavyofanya kazi kwa kuona matukio laivu kwa kutumia mtandao wa intaneti Kampuni ya simu Tigo Tanzania leo imezindua teknolojia mpya ijulikanayo kama 4G LTE ambayo utaifanya...

Je,miraa inaongeza nguvu za kiume?

Wanaume katika eneo la Meru mashariki mwa Kenya ambao hawana uwezo wa kuwatosheleza wake zao kupitia tendo la ngono sasa wametakiwa kutokuwa na wasiwas...

Friday, April 24, 2015

JK AONGOZA MAZISHI YA KITENGA MKOANI MOROGORO

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete (pichani kati) na Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda (pichani shoto) wakishuhudia askari wa jeshi la Wananchi (JWTZ) wakipiga risasi...

SHEREHE YA UKUZAJI WA KISWAHILI YAENDELEA WASHINGTON, DC

Rais wa CHAUKIDU Prof Lioba Moshi watatu toka kushoto akimkaribisha Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi mara tu alipowasili kama mgeni rasmi chuo kikuu cha Howard Washington, DC siku ya Alhamisi April 23, 2015 kulia ni Prof Venessa White...

Wanawake wanaokuwa watawa waongezeka UK kutoka 15 kwa mwaka hadi 45

   Watawa katika mkutano na kiongozi wa kanisa katoliki duniani papa Francis Idadi ya wanawake wanaokuwa watawa imeongezeka pakubwa katika kipindi cha miaka 25,kanisa katoliki nchini Uingereza na Wales limesema. Takwimu zinaonyesha kuwa...

Boko Haram labadilisha jina Nigeria

Kiongozi wa wapiganaji wa Boko Haram Abubakar Shekau Picha mpya zimetolewa kuhusu wapiganaji wa Boko Haram ambao wanajielezea kuwa Islamic State Jimbo la Magharibi mwa Afrik...