Wednesday, December 17, 2014

Diamond akwea pipa aenda Uganda kwenye ''White Paty'' ya Zari

Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinumz amekwea pipa leo kuelekea nchini Uganda kwenye ''''White Paty'' inayoandaliwa na anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake wa sasa aishiye nchini humo. Zari.Kupitia mtandao wa Instagram Diamond aliandika hivi.....KAMPALA!!! UGANDA!!! your boy is on his way... #Zari_AllWhite_CirocParty.
Zari The boss lady.
Source: Clouds fm

Related Posts:

  • Stages of Surrender I have to confess that I used to suffer from a very significant disease. You might not have noticed it by looking at me, but if you had lived with me for awhile you probably would have. It has a very special name, and it’s … Read More
  • Saudia yaamuru kuungwa mkono magaidi Wizara ya Mwongozo na Wakfu ya Saudi Arabia imewataka mahatibu misikitini  kuyaungwa mkono makundi ya kigaidi. Taarifa iliyotolewa leo na wizara hiyo imeeleza kuwa, makhatibu wa misikiti nchini humo wameta… Read More
  • 13 Simple Tricks To A Long And Happy Marriage It's no secret that marriage takes work. After all, we're only human, and humans make mistakes, have bad days and sometimes even forget to load the dishwasher (again). Nevertheless, some couples are able to foster happy,… Read More
  • Marekani yakiri mapambano ya mjini Kobani ni magumu Waziri wa ulinzi wa Marekani Chuck Hagel amesema siku ya Jumamosi kuwa mji wa Syria wa Kobani ni tatizo kubwa na gumu, lakini mashambulizi ya angani yamepiga hatua katika kuwarudisha nyuma wapiganaji wa Dola ya Kiislamu. … Read More
  • Sudan yawaibisha mabingwa wa Afrika Wachezaji wa Nigeria Mabingwa wateteza wa kombe la taifa bora barani Afrika Nigeria walishangazwa Ugenini baada ya kuchapwa bao moja kwa bila na Sudan na hivyobasi kusalia mkia katika kundi A la michuano ya kufuzu kwa faib… Read More

0 comments:

Post a Comment